Hawa Sulemani
akijisomea moja ya vipeperushi vya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania baada ya
kugawiwa katika semina ya Majukumu ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki
iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia kwa kuwashirikisha viongozi mbalimbali wa
wilaya hiyo.
Baadhi ya Washiriki wa Semina ya Majukumu ya
Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia
wakijisomea majaridi yenye ujumbe mbalimbali na Kazi za Mamlaka hiyo. Baaada
ya kugawiwa na Mhasibu wa TCRA BW.Patrice Lumumba.
Washiriki wa semina ya Majukumu ya Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia
wakishiriki katika zoezi la kutambua simu bandia.wakati walipokuwa wakionzwa na
Afisa Utumishi Mkuu Esuvatie Masinga (hayupo pichani)
Mhandisi wa Masafa wa Mamlaka ya Mawssiliano Kanda
ya Mashariki Stella Bunyenza akitoa mada ya Ukuaji wa Teknolojia wakati wa
Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawsiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki
iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia.
Mhasibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya
Mashariki Patrice Lumumba akitoa maada ya Mfumo wa Anuani za Makazi na Posti
Kodi wakati wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki
iliyofanyika Wilayani Mafia.
Mkuu wa Wilaya ya Mfia Sauda Mtondoo akimkabidhi
Prudence Nyombi zawadi ya King’amuzi cha Star timu baada ya kujishindia kutokana
na kujibu swali aliloulizwa juu ya matumizi ya Mawasiliano, wakati wa Semina ya
Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki iliyofanyika Wilayani
Mafia.katikati ni Mkurugenzi wa Watumiaji na Watoa Huduma za Mawasiliano Dk.
Raymond Mfungahema akishuhudia.
Mkurugenzi wa Watumiaji na Watoa Huduma za
Mawasiliano Dk. Raymond Mfungahema akimkabidhi zawadi ya simu aina ya Nokia Mkuu
wa Wilaya ya Mafia Bi,Sauda Mtondoo wakati wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya
Mawsiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika Wilaya ya
Mafia.