NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAWASILIANO ,SAYANSI NA TEKNOLOJIA ATEMBELEA TCRA

Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia January Makamba akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma, wakati alipotembelea Makao Makuu.

TCRA 4

Prof. Nkoma speaking with the press after the visit of Minister of Communications from malawi

RAIS KIKWETE AMKARIBISHA WAZIRI MKUU WA DENMARK IKULU JIJINI DAR LEO

Mamia ya wananchi wakijiandaa kumlaki Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt kupitia lango la Mashariki la Ikulu Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt  Ikulu Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt wakiingia Ikulu huku wakishangiliwa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika maongezi ya faragha na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt leo Ikulu.

Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    TEST 1 ON THIS BLOG

  2. Anonymous Anasema:

    OK GOOD EVERYTHING OK

  3. Anonymous Anasema:

    Review of the best online casino site | Lucky Club
    Read our review of the best online casino site to luckyclub find out which players can be They give you the ability to pay in virtual currency bets.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru